Umeondoka – By The Chosen Generation-(Audio&Video)
Summary:
Play Audio
Lyrics:
Siku za mwanadamu, aliyezaliwa na mwanamke,
Zapita kama upepo, zimejawa na mambo mengi,
Baba Magufuli, hivi kweli umeondoka?
Na bado tunakupenda
Twashukuru kwa yote
Chorus:
Hivi kweli umeondoka?
Na bado tunakupenda,
Eeh Mungu utufariji,
Twashukuru kwa yote
Udongoni tulikuwako
Udongoni tutarejea
Haya yote uyafanyayo Mungu,
Ni kwa utukufu wako
Ni kweli tulikupenda, ila Mungu kakupenda zaidi
Kwa heri tunakuaga, jasiri muongoza njia
Eeh Mungu ungetuonesha
Siku ya kifo,tungejiandaa,
Tungejiandaa lakini Mungu
Umeweka fumbo lisilojibika,
Baba asantee
African defender, game changer
Baba, you’re the voice for the weak,
Through you our faith it was lifted,
Ooh we thank you for all you have done
Father of the nation, fearless lion
God used you to change this nation
And through you, our faith was lifted up
We thank you for all that you have done
Chorus:
Hivi kweli umeondoka?
Na bado tunakupenda,
Eeh Mungu utufariji,
Twashukuru kwa yote
Hivi kweli umeondoka
Na bado tunakupenda
Eeh Mungu twashukuru
Tunasema asante
By: The Chosen Generation. Rhema, the Faithful Church Worship Team